Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the premium-addons-for-elementor domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114

Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the wordpress-seo domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114
Responsabilidad social corporativa de NextCity Labs

Wajibu wa Makampuni kwa Jamii

Principios adaptados a las ciudades inteligentes

KUHAMASISHA MABADILIKO

NextCity Labs® inafanya kazi zake kwa misingi ya mji janja na kanuni zake. Tunataka kuwa mfano kwa kuunda muundo wa biashara ambao unachangia sio tu kwenye mabadiliko ya kiteknolojia lakini pia kukuza utumiaji wa nishati mbadala, na kuzifanya zipatikane kwa urahisi ili kuboresha maisha ya watu. Dhamira yetu kwa mazingira ni moja ya misingi yetu, kuhamasisha muundo wa matumizi wa mduara ambapo sio tu teknolojia na nishati vinakuwa endelevu, bali pia hata vifaa vidogo na michakato ya uzalishaji, uchimbaji, na ukusanyaji wa malighafi.

KWA AJILI YA MIJI YA KIJANI

Hiyo ndiyo sababu mifumo yetu inatumia vitu na mbinu za kibunifu ili kupunguza athari kwa mazingira na tunawajibika kuondoa kifaa chetu baada ya kumfikia mtumiaji wa mwisho na uhai wake ili kukichakata kwa namna inayofaa.

KWA AJILI YA ULIMWENGU BORA ZAIDI

Creemos que una transformación tecnológica debe favorecer además de modelos más sostenibles, iniciativas y acciones más justas y equitativas para todos los estratos sociales. Por ello diseñamos dispositivos que tengan un gran valor añadido y tengan un impacto directo sobre la vida de las personas. Con estos equipos se consigue una maximización de los recursos disponibles, sobre todo en lo relativo al uso energético, donde los productos se puedan alimentan simplemente de energías renovables. Lo cual deriva en la oportunidad de llevar la electricidad a cualquier parte del mundo.
Katika kampuni yetu tunathamini sana kipaji na zaidi ya hapo tunathamini, juhudi. Tuna timu ya wataalamu kutoka katika taaluma mbalimbali duniani kote. Lengo letu ni kutoa fursa sawa kwa kuangalia juhudi za kila mfanyakazi wetu ambaye anachangia katika sehemu yetu ya kazi kwa nyanja tofauti, katika kujenga taswira ya kampuni kidunia na wakati huo huo kufungua fursa mbalimbali katika mabara tofauti.