Productos NCL

Tecnología, e innovación

Taa za sola

Taa za Betri za Miale ya Jua ni muunganiko wa teknolojia ya kuzalisha umeme kwa betri za miale ya jua (photovoltaic), hifadhi ya nishati, na taa za LED kwa pamoja. Kama taa za LED zimeleta mabadiliko makubwa katika upande wa taa za maeneo ya umma, basi taa za betri za miale ya jua ni zinaweka misingi ya mabadiliko yanayokuja mbele.

Almacenamiento-de-energia-inteligente-con-nextcity-labs

Uhifadhi wa nishati

Uhifadhi wa nishati umekuwa ni changamoto kubwa sana ya enzi hizi. Katika ulimwengu wa leo matumizi ya nishati yanazidi kuongezeka na tunaona mabadiliko kutoka katika matumizi ya nishati ya kuchoma na kutumia zaidi nishati mbadala, uhifadhi wa nishati ni kitovu cha mabadiliko yote haya kutokea.

Nishati ya betri za miale ya jua

Nishati ya sola itokanayo na betri za miale ya jua ni sekta mojawapo inayokua kwa kasi zaidi kutokana na kuwa na matumizi mengi, uwezo wake kupunguza gharama, rahisi kupatikana, na urafiki wake kwa mazingira. Pamoja na urejeleshaji wake, lakini mwisho wake hauna kikomo na haichafui mazingira.

Vituo vya kuchaji gari

El cambio de un modelo tradicional a un modelo sostenible tiene como uno de los pilares imprescindibles la movilidad. La nueva movilidad prescinde de los combustibles fósiles para sustituirla por baterías de última generación. Estas baterías necesitan ser cargadas en estaciones especializadas donde la carga sea eficiente, rápida y segura.

ciudad inteligente NCL

Miji ya Kijanja/IOT

Miji ya janja ni maeneo ya mjini ambayo teknolojia mpya inatumika kama nyenzo ya kusaidia kutumia rasilimali kwa ufanisi, kufanya hatua ziwe fanisi, iliyo endelevu, na yenye malengo ya kuboresha maisha ya watu.