Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the wordpress-seo domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114
Nishati ya betri za miale ya jua

Nishati ya betri za miale ya jua

Nishati ya sola itokanayo na betri za miale ya jua ni sekta mojawapo inayokua kwa kasi zaidi kutokana na kuwa na matumizi mengi, uwezo wake kupunguza gharama, rahisi kupatikana, na urafiki wake kwa mazingira. Pamoja na urejeleshaji wake, lakini mwisho wake hauna kikomo na haichafui mazingira.

Nishati ya sola itokanayo na betri za miale ya jua ni sekta mojawapo inayokua kwa kasi zaidi kutokana na kuwa na matumizi mengi, urahisi na gharama ndogo ya kufunga na katika matumizi pia, na namna ilivyo rafiki kwa mazingira. Nishati hii inapatikana kwa kubadili miale ya jua kuwa umeme kwa kutumia teknolojia inayotokana na athari ya umeme wa mwanga ambayo, sio tu kwamba ni nishati mbadala, bali pia nyingi isiyo na mwisho, na haichafui mazingira. Inaweza kuzalishwa kwa kiwango kidogo kwa kutumia majenereta kwa matumizi binafsi na pia kwa kiwango kikubwa kama vile katika viwanja vya nishati ya betri za miale ya jua.

Nishati inayotokana na viwanga vya kuzalisha umeme vinavyotumia betri za umeme wa miale ya jua inarudishwa ndani ya gridi, hivyo kuchangia uzalishaji endelevu na, kwa pamoja na umeme wa upepe, ni njia bora zaidi kiuchumi za uzalishaji katika soko. Moja ya faida kubwa sana ya nishati ya sola ni uwezo wake kubadilika, hii inamaanisha kwamba inaruhusu kufungwa katika ujenzi unaokidhi mahitaji yoyote, kwa kufunga moduli zinazohitajika. Uwezo wake kubadilika na kutumika kwa namna tofauti tofauti umeiwezesha kuwepo katika matumizi ya viwanda na ya kila siku.

Teknolojia ya Nishati ya betri za miale ya jua kwa kawaida imekuwa ikitokana na silikoni, na kupanuka kwake kwa mataifa ya nje kumetokana na teknolojia hii. Imefanikiwa kuongeza ufanisi na kupunguza gharama.

Ukiachilia mbali silikoni, kuna teknolojia zingine ambazo zipo hata sasa na zitabadilisha uzalishaji wa nishati miaka ya mbele: Cadmium telluride (TeCd) na perovskite. Kemikali mpya na waandisi wameongeza uwezo wa betri za nishati ya miale ya jua, na matarajio yake mapya pamoja na uwezo wa seli zake kunyonya nishati umezidi wa hivi sasa.

Leo, unaweza kuona paa za nyumba, kuta za majengo au paa za majumba makubwa ya kuhifadhia vitu au sehemu za kuegesha magari zimejazwa na seli za betri za nishati ya miale ya jua kwa ajili ya matumizi binafsi au kurudisha umeme kwenye gridi kuu, jambo ambalo ni kiashiria kwamba nishati ya sola ni nishati mbadala inayoongoza sokoni. Kwa sababu inapatikana kwa wingi bila kuwa na ukomo na haizalishi gesi chafu, ni mbadala safi kwa nishati ya kuchoma kwa vizazi vijavyo.

Kit solar integrado en el vehículo para reducir un 14 % la recarga

El instituto de investigación francés Liten está desarrollando un nuevo prototipo de kit para vehículos eléctricos. El kit consta de un panel fotovoltaico de 145 W, un panel trasero magnético y un controlador de carga MPPT. También incluye una batería y un microinversor que se puede utilizar para inyectar la energía almacenada en la red al recargar el vehículo.

Cerveza de Colombia será producida con energía solar

Un porcentaje alto de la cerveza que se consume en Colombia la produce Bavaria. La empresa plantea para el año 2024, cerveza fabricada únicamente con energía solar. El objetivo es ayudar a la preservación del medio ambiente y luchar contra los efectos del cambio climático.

¿Se puede a través de la arena almacenar energía?

En la energía solar o la eólica se puede encontrar un problema en el sistema almacenamiento, porque no siempre coincide su captación con su uso y no se puede retener esa energía. Por ese motivo, un grupo de investigadores finlandeses han creado una solución comercial que permite almacenar energía durante meses usando arena.

El hidrógeno verde es el futuro frente a las crisis actuales

Una nueva oportunidad frente a la crisis desatada por la guerra y es la posibilidad de sustituir el gas natural por un tipo de hidrógeno limpio, renovable y sostenible: el hidrógeno verde. Una situación totalmente necesaria por la dependencia que existe sobre Rusia, lo que abre las puertas hacia la incursión de la energía renovable de una vez por todas.

El reciclaje no es la única opción para la economía circular

El Laboratorio Nacional de Energía Renovable (NREL) de Estados Unidos ha determinado que el hardware renovable que dura más y usa menos materiales podría impulsar los esfuerzos de reciclaje y ayudar a construir una economía circular efectiva para las tecnologías solares y de baterías.

Energía solar flotante para luchar contra el cambio climático

La energía solar flotante es una propuesta innovadora para ayudar a combatir y generar energía con un menor costo ambiental. El proyecto está basado en cubrir el 10 % de los embalses hidroeléctricos con placas flotantes para instalar capacidad eléctrica, aunque aún queda evaluar los impactos ambientales y sociales.

Agua de mar potable gracias a la energía fotovoltaica

Un grupo de investigadores ha desarrollado un sistema portátil de desalinización de agua de mar para la producción de agua potable en lugares remotos. El dispositivo creado por científicos del Instituto Tecnológico de Massachusetts (MIT), no necesita ni de filtros ni de bombas de alta presión.

La capacidad solar en Centroamérica debe triplicarse por el hidrógeno

La Agencia Internacional de Energías Renovables (IRENA por sus siglas en inglés)  analizó el potencial energético de Centroamérica estimado en los años 2040 y 2050 para abastecer la demanda de hidrógeno. Además, este estudio se centró en la instalación de la cantidad de energía solar fotovoltaica para suministrar electrolizadores, así como la relación de almacenamiento de hidrógeno para abastecer grandes camiones y navíos.