Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the premium-addons-for-elementor domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114

Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the wordpress-seo domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114
NextCity Labs: Miji ya kijanja

Miji Janja

Miji ya janja ni maeneo ya mjini ambayo teknolojia mpya inatumika kama nyenzo ya kusaidia kutumia rasilimali kwa ufanisi, kufanya hatua ziwe fanisi, iliyo endelevu, na yenye malengo ya kuboresha maisha ya watu.

Idadi ya watu na wingi wake katika maeneo ya mijini inazidi kuongezeka kila mwaka. Hivyo ni muhimu sana ukuaji huu ukifanyika kwa namna nzuri na katika misingi ya ubinadamu, uendelevu na ufanisi. Huu ndiyo mfumo ambao miji janja inataka kuijenga kwa kutumia teknolojia mpya kama vile za kidigitali, akili bandia, vihisio, intaneti ya mambo (IoT), nishati mbadala, magari ya umeme, na teknolojia zingine za kisasa.

Kuna maeneo mbalimbali tofauti yaliyo ndani ya dhana nzima ya miji janja, NextCity Labs® imejikita zaidi katika nishati na usafiri. Kutokana na maboresho ya ukusanyaji na usimamiaji wa nishati unaofanywa na vikundi vya mawakala katika maeneo ya mijini, inawezekana kuchangia katika kuboresha mazingira na ubora wa maisha ya wakazi na wageni kwa ujumla.

Miundombinu yake imezungukwa na uzalishaji wa nishati endelevu, inathamini zaidi nishati mbadala kuliko njia zingine za kawaida za uzalishaji wa nishati, uwezo wa kubadilika kutokana na mabadiliko ya mazingira na kuweka mkazo katika teknolojia mpya. Hivyo miji janja ni dhana inayojieleza kwa namna mpya, kwa maendeleo ya kijamii na kitamaduni, yenye mipangilio fanisi ili kupunguza umbali. Kupungua kwa athari za mazingira ni moja ya mambo yanayozingatiwa katika mifumo ambayo inamuweka mtu na mazingira katikati ya uzalishaji.

Mfumo wa nishati unapitia mabadiliko makubwa kuelekea katika muundo unaoelezwa katika miji janja kwa kutumia mifumo yenye vifaa vinavyoweza kutumika tena, utumiaji mzuri, utoaji wa taka ulio endelevu na kusukuma utumiaji wa nishati zilizo mbadala.

Smart cities es sinónimo de mejora en la calidad de vida de los ciudadanos

¿En qué consisten realmente estas ciudades? ¿Cuáles son sus principales retos en plena revolución tecnológica? Muchos especialistas en el área coinciden en que estas ‘smart cities’ deben procurar la felicidad de los ciudadanos haciéndoles la vida más fácil y cómoda a través de la tecnología. Una ciudad inteligente tiene que ser innovadora. El objetivo es cubrir necesidades actuales de nuestra generación pero también estar preparadas para las futuras.

Las ciudades inteligentes: No todo es tecnología

Hablamos sobre ciudades inteligentes y rápidamente pensamos en Iluminación led, vehículos eléctricos y autónomos, IOT (internet de las cosas), jardines verticales, drones, Inteligencia artificial, etc., incluso pensamos más allá y nos viene a la cabeza tecnologías que no están todavía operativas en el día de hoy como el Hyperloop (transporte supersónico para personas). Se puede decir que estamos viviendo ya en el futuro que siempre habíamos imaginado.