Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the premium-addons-for-elementor domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114

Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the wordpress-seo domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114
Certificaciones y compromiso con la calidad de NextCity Labs

Vyeti

na dhamira yetu katika ubora

UBORA ni jambo lisilo la mjadala kwa NextCity Labs®.®.

Tunawekeza rasilimali na juhudi nyingi kwenye R&D&I. Maabara yetu ya uzalishaji ina wataalamu wenye ujuzi na teknolojia ya kisasa wenye dhamira ya kuhakikisha bidhaa zetu zinafikia ubora wa kiwango cha juu. Na nyongeza, tunashirikiana na makampuni mengi yanayotambulika kwa ngazi za vifaa vidogo (component level), kama vile Philips®, Osram®, Texas Instruments®, Mean Well®, n.k
Certificaciones_calidad2

Vifaa vyetu vimepitia majaribio mengi, kutoka kwa timu yetu ya watengenezaji na kutoka katika maabala zinazojitegemea, ili kuhakikisha kwamba vinakidhi mahitaji makubwa ya kimataifa. Majaribio yanatofautiana kulingana na bidhaa husika, kwa ujumla baadhi ni kujaribu: Uwezo wa kuhimili nguvu ya kimekanika (mechanical resistance), usalama wa kiumeme, usalama wa umeme sumaku, vifaa vilivyofunika, na ufanisi.

Certificaciones_calidad1
Certificaciones_calidad2

Mchakato wa kuhakikisha ubora wa bidhaa unaanza kwa kupokea nyenzo, ambapo zitajaribiwa kuona kama hazina kasoro yoyote. Majaribio kadhaa ya ubora yanafanyika wakati wa mchakato mzima wa uzalishaji ili kugundua kama kuna kasoro yoyote mapema iwezekanavyo. Baada ya mchakato kukamilika, vifaa vilivyokamilika kwa 100% hujaribiwa ili kuhakikisha kwamba kila bidhaa iko katika hali ya ubora kabla ya kufikishwa kwa mteja.

Bidhaa za NextCity Labs® zimethibitishwa na wathibitishaji wa kimataifa wanaoheshimiwa kama vile TÜV na Intertek, hivyo kuonyesha dhamira yetu katika ubora.

Uzoefu bila shaka ni thamani nyingine ya ziada, kama ilivyoonyeshwa kwa mtandao wa wasambazaji wengi duniani na idadi kubwa ya miradi ambayo vifaa vyetu vimefungwa katika mabara matano.