ASSOCIATIONS
PARTNERS
Jisajili kupokea majarida ya habari
Tunaahidi hatutakutumia taka, tutakutumia tu taarifa muhimu zinazohusu sekta hii na/au bidhaa zetu.
wordpress-seo
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114Sekta
Teknolojia ya juu na ubunifu
Taa za maeneo ya umma
Taa za maeneo ya umma ni moja ya huduma muhimu ambazo miji inaweza kuwapa wakazi wake. Kwa sababu ya teknolojia ya LED, mabadiliko makubwa yanafanyika dunia nzima katika nyanja ya ufanisi wa nishati, jambo linalowezesha miji kuokoa nishati kwa kiwango kikubwa yanayoweza kupelekwa katika maeneo mengine ya watu yanapohitajika.
Taa za sola
Taa za Betri za Miale ya Jua ni muunganiko wa teknolojia ya kuzalisha umeme kwa betri za miale ya jua (photovoltaic), hifadhi ya nishati, na taa za LED kwa pamoja. Kama taa za LED zimeleta mabadiliko makubwa katika upande wa taa za maeneo ya umma, basi taa za betri za miale ya jua ni zinaweka misingi ya mabadiliko yanayokuja mbele.
Uhifadhi wa nishati
Hivyo mifumo ya umeme inayoendeshwa na nishati safi inaweza kufanya kazi katika ubora mkubwa, na ili kuweza kufikia vigezo ya uendelevu (sustainability) kama vigezo vya uhifadhi wa mazingira katika falsafa ya Mji wa Kijanja zinavyoelekeza, ni muhimu sana kutumia mifumo endelevu ya uhifadhi wa nishati iliyopo sokoni leo.
Nishati ya betri za miale ya jua
Nishati ya sola itokanayo na betri za miale ya jua ni sekta mojawapo inayokua kwa kasi zaidi kutokana na kuwa na matumizi mengi, uwezo wake kupunguza gharama, rahisi kupatikana, na urafiki wake kwa mazingira. Pamoja na urejeleshaji wake, lakini mwisho wake hauna kikomo na haichafui mazingira.
Majengo janja
Majengo janja ni majengo yaliyounganishwa kwa kiwango kikubwa na yaliyobuniwa ili kutumia rasilimali kikamilifu. Kuanzia katika ubunifu mpaka utendaji kazi wake, kutumia nafasi umefikiriwa.
Usafiri
La tecnología ha derivado en la reducción de emisiones gracias a la descarbonización y a la sustitución progresiva de los combustibles fósiles. También se han visto reducidas la contaminación acústica y las emisiones de calor ya que ahora es posible controlar y prevenir los embotellamientos en el tráfico de muchas ciudades gracias a la conectividad.
Miji Janja
Miji ya janja ni maeneo ya mjini ambayo teknolojia mpya inatumika kama nyenzo ya kusaidia kutumia rasilimali kwa ufanisi, kufanya hatua ziwe fanisi, iliyo endelevu, na yenye malengo ya kuboresha maisha ya watu.
IOT
El gran logro de esta tecnología ha sido el control autónomo de diferentes tecnologías y equipos, así como el intercambio de datos en Bempo real por internet mediante el uso de sensores. Esto permite monitorear de forma remota procesos industriales, hacer mantenimientos o consultar datos de un edificio, un hogar o un establecimiento.
Miji
Miji ni maeneo muhimu sana kwa wanadamu, kwa sababu zaidi ya nusu ya watu duniani wanaishi mijini, na inasemekana kwamba katika miaka ijayo idadi hii itafikia moja ya tatu. Na hali hii itaendelea kuongezeka miaka inavyozidi kwenda.
Barabara
Barabara zina umuhimu mkubwa sana katika jamii yetu kwa sababu zinatuwezesha kuhama na kuhamisha bidhaa kutoka eneo moja kwenda lingine. Hili, katika dunia iliyounganikana kama hii ya leo, ni jambo muhimu sana, bila kujali ni katika eneo la karibu au kimataifa. Barabara ni njia kuu ya mawasiliano na kuzijenga inahitaji jitihada na rasilimali nyingi kutoka katika kila ngazi.
Maeneo ya mbali
Katika nchi nyingi bado kuna maeneo ambayo, kutokana na mahali ilipo kijiografia, zinaongeza ugumu wa maisha ya watu wanaoishi huko. Maeneo yenye milima, mapori, majangwa, au tu umbali mrefu kutoka mijini, na wanajikuta mara nyingi wakipata wakati mgumu kupata nishati za kukidhi maisha yao ya kila siku.
Viwanda/Biashara
NextCity Labs aporta también soluciones energéticas a industria y comercio, dándoles la oportunidad de ahorrar en costos y aumentar su seguridad con una completa disponibilidad de energía, tan importante para desarrollar sus actividades de manera satisfactoria.
Matumizi-binafsi
Matumizi-binafsi ni moja ya mabadiliko ya msingi kwenye taswira tuliyonayo ya nishati, kuondoka kutoka kwenye mifumo ya kati na kuwa na mifumo iliyotawanyika, ambayo haitegemei gridi, lakini kwa wakati huo huo kila wakala anaweza kuwa mtoaji/muuzaji wa nishati.
Makazi
Sekta ya makazi ni sehemu muhimu katika matumizi ya nishati, lakini pia mahitaji ya watumiaji wa aina hii mara nyingi, ni ya tofauti kulinganisha na matumizi katika nyanja zingine. Na hiyo ndiyo sababu NextCity Labs® imetengeneza bidhaa suluhishi maalumu kwa ajili ya mtumiaji huyu na mazingira yake.
Matumizi makubwa
Miradi mikubwa inaruhusu kuzalisha nishati kwa ufanisi pamoja na kupunguza gharama za uzalishaji. Miradi ya aina hii inafaa zaidi kwa ajili ya kurudisha umeme tena ndani mfumo, kuusambaza mijini na kwenye miji, au kwa kutengeneza miundombinu ya nishati yenye gharama kama vile viwanda vikubwa.
ASSOCIATIONS
PARTNERS
Jisajili kupokea majarida ya habari
Tunaahidi hatutakutumia taka, tutakutumia tu taarifa muhimu zinazohusu sekta hii na/au bidhaa zetu.
© 2021 | Sera ya Faragha | Sera ya Cookie
Página web desarrollada por EasyMode Marketing
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.
More information about our Cookie Policy