Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the premium-addons-for-elementor domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114

Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the wordpress-seo domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/www/nextcitylabs/htdocs/global/wp-includes/functions.php on line 6114
Mifumo ya Kuhifadhi Nishati MESR™

Uhifadhi wa nishati

Uhifadhi wa nishati umekuwa ni changamoto kubwa sana ya enzi hizi. Katika ulimwengu wa leo matumizi ya nishati yanazidi kuongezeka na tunaona mabadiliko kutoka katika matumizi ya nishati ya kuchoma na kutumia zaidi nishati mbadala, uhifadhi wa nishati ni kitovu cha mabadiliko yote haya kutokea.

El almacenamiento de energía es un elemento verdaderamente importante ya que aporta toda la seguridad y disponibilidad de la energía captada por fuentes renovables. Tanto es así, que realmente tiene el potencial suficiente para cambiar tanto el sector eléctrico como la usabilidad de todos los sistemas que tienen que ver con él. En NextCity Labs® seguimos avanzando en la búsqueda de nuevas tecnologías de almacenamiento que siga respaldando la expansión de las energías renovables.

Hifadhi inahitaji kufanyika katika ngazi zote: Watu, majumba, biashara, na viwanda vina mahitaji ya nishati yanayoongezeka na ni muhimu nishati iwe inapatikana kikamilifu inapohitajika. Hivyo basi ni muhimu sana hifadhi hii iwe NDANI na NJE ya gridi. Hii ni muhimu sana katika maeneo ya mbali ambako hakuna miundombinu ya umeme, na zaidi ni kama chelezo (backup) ya gridi kuu, ambayo katika maeneo hayo itakuwa ikiathiriwa sana na hali ya hewa na mazingira. Nyanja hii imepelekea kuambukiza ufanisi chanya katika maeneo mengine ya matumizi, haswa katika menejimenti ya gridi ya umeme. Hifadhi inaweza kuimarisha zaidi gridi ya umeme kwa kuepusha kuzidiwa na kuchemka mitambo, jambo ambalo linapelekea kupungua uwekezaji katika miundombinu ya usafirishaji wa nishati mpya na kusaidia kuwa na uhakika wa nishati.

Hivyo mifumo ya umeme inayoendeshwa na nishati safi inaweza kufanya kazi katika ubora mkubwa, na ili kuweza kufikia vigezo ya uendelevu (sustainability) kama vigezo vya uhifadhi wa mazingira katika falsafa ya Mji wa Kijanja zinavyoelekeza, ni muhimu sana kutumia mifumo endelevu ya uhifadhi wa nishati iliyopo sokoni leo.

Kuna aina mbalimbali za hifadhi za nishati, lakini njia ambayo ni fanisi zaidi na inatumika kwa kiwango kikubwa zaidi ni inayotumia lithium. Kutokana na tafiti za kikemia, hatua kubwa zimeweza kupigwa katika eneo hili, utengenezwaji wa mifumo ambayo infaa zaidi kuliko lithium-ion. Lithium iron phosphate(LiFePO4) ni teknolojia inayokubalika zaidi kimataifa, katika hifadhi za miradi ya ndani na hata mikubwa pia. Hii ni kutokana na usalama, ufanisi mkubwa hata katika joto kubwa na hudumu kwa muda mrefu kuliko teknolojia zingine zilizopo. Teknolojia ya lithium titanate (Li2TiO3) pia ni ya muhimu, yenye kudumu kwa muda mrefu zaidi na ufanisi mkubwa zaidi katika hali ya hewa ya baridi kali. Teknolojia hizi mbili hakika zitatengeneza sura ya miaka ijayo.

Ijulikane pia kwamba mifumo hii ya hifadhi inaboresha mifumo asili katika ngazi za kimazingira, kwa kupunguza kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa vitu vinavyochafua mazingira pamoja na kuwa na sera kali za urejelezaji, ambazo sote tunatakiwa kuzifuata.

¿Cuál es la importancia del BMS?

La tecnología del hidrógeno verde y los coches eléctricos acaban con los combustibles fósiles para luchar juntos por una ciudad más sostenible.